MSATEKU LIBRARY
Wednesday, 10 July 2013
Assalam Alaykum...........!!!!!! wanajumuiya (MSATEKU)
Kwa uwezo wake Jalali....Kamati ya Taaluma limetimiza ahadi yake ya kukuandalia Blog maalumu kwa ajili ya taaluma....blog hii itakuwa ikikupatia mambo mbalimbali yanayohusu taaluma hapa Mbeya na duniani kwa ujumla....lengo kukufanya ndugu Muislamu usipate taabu katika kufanya vizuri katika masomo yako na maisha kwa ujumla.
Tutakuwa tunawaletea kazi au mada mbalimbali za miaka ya masomo iliyopita na iliyopo....unachotakiwa kufanya ni kuwa mpenzi mkubwa wa blog hii na blog mama ya MSATEKU.
KARIBUNI SANA!!!!!!!
Tutakuwa tunawaletea kazi au mada mbalimbali za miaka ya masomo iliyopita na iliyopo....unachotakiwa kufanya ni kuwa mpenzi mkubwa wa blog hii na blog mama ya MSATEKU.
KARIBUNI SANA!!!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)